iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya
wimbo wao uitwao ‘Cheza Kwa
Madoido’.
Mwezi June mwaka huu Yamoto
walisafiri kwenda Afrika Kusini kushoot
video hii na Godfather, mipango
ambayo iliwezeshwa na Diamond
Platnmuz aliyewaunganisha na
muongozaji huyo pamoja na kuwalipia
gharama za utengenezaji. Hii ndio
video ya kwanza Yamoto kufanya nje
na director mkubwa wa kimataifa.
Kwenye video hii pia Diamond
ataonekana.
Cheki video hiyo kwa kubonyeza play
au waweza ipakua kwa kubonyeza

0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home