Wednesday, 13 April 2016

Sambo Mtambo msanii mpya kwenye game ya hiphop

Sambo mtambo rapper mwenye umri mdogo na uwezo mkubwa wa freestyle. Alianza kuonekana baada ya kuibuka kidedea kwenye tamasha la after school bash lililoandaliwa na kituo cha clouds tv. Baada ya hapo alianza kuonekana na kwa sasa anatamba na nyimbo yake npya ya "furaha" aliyomshirikisha nikolazo na imeandaliwa na producer Abbah process na tunch master.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home