Rais Magufuli alivyoagiza mil. 200 za sherehe ya Wabunge zipelekwe Muhimbili.. (Video)
Newsroom TZA katika TZA_MillardAyo - Dakika 23 zilizopita
Hii stori ilianza kuenea kwenye mitandao ya kijamii, wapo walioamini na wapo walioona kama huo ni ujumbe wa uzushi… wakati unavyozidi kusogea ukweli umezidi kuthibitika kwamba haikuwa uzushi, agizo hilo limetolewa na Rais Magufuli mwenyewe !! Nakusogezea uthibitisho mwingine kutoka Ikulu, hii ni nukuu ya alichokisema Rais Magufuli kuhusu agizo hilo >>> “Nitaomba mnisamehe sana, […] The post Rais Magufuli alivyoagiza mil. 200 za sherehe ya Wabunge zipelekwe Muhimbili.. (Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
Algeria kumshitaki kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa, sababu ndio hii ..
Rama Mwelondo TZA katika TZA_MillardAyo - Dakika 23 zilizopita
November 17 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa pili wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi dhidi ya timu ya taifa ya Algeria mjini Blida katika uwanja wa Mustapha Tchaker, ikiwa ni siku tatu tu zimepita toka wacheze mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu michuano hiyo […] The post Algeria kumshitaki kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa, sababu ndio hii .. appeared first on TZA_MillardAyo.
Mdogo wa Prof. Jay hapendi siasa, alimsapoti kaka yake? uchaguzi wa 2020 je? Kajibu yote.. #AyoTV (Video)
Newsroom TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 1 iliyopita
Hii ni sehemu ya exclusive interview iliyofanyika studio za TZA, stori hizi zote zilipigwa wiki moja kabla ya kuifikia October 25 2015 siku ya Uchaguzi Mkuu Tanzania. Black Rhyno ni mdogo wa msanii Professor Jay ambaye kura za watu wa Mikumi October 25 2015 zimemthibitisha kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka mitano… unajua kwa […] The post Mdogo wa Prof. Jay hapendi siasa, alimsapoti kaka yake? uchaguzi wa 2020 je? Kajibu yote.. #AyoTV (Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
Stori za Magazetini Tanzania November 21 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma yameamka na hizi leo..
Newsroom TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 5 zilizopita
Leo November 21 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda […] The post Stori za Magazetini Tanzania November 21 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma yameamka na hizi leo.. appeared first on TZA_MillardAyo.
Pichaz mwanzo mwisho mshindi wa Miss Universe 2015 TZ alivyopatikana Dar !!
Newsroom TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 10 zilizopita
Usiku wa November 20 2015 ulimwengu wa urembo Tanzania umeandika historia nyingine kubwa na nzuri ambapo mrembo mmoja aliibuka na ushindi wa taji la Miss Universe 2015 !! anahesabu siku chache tu kugusa stage ya Miss Universe duniani ! List ya warembo waliogusa TOP 3 ya Miss Universe 2015 ilikuwa hivi: Washindi wenyewe kwenye ubora […] The post Pichaz mwanzo mwisho mshindi wa Miss Universe 2015 TZ alivyopatikana Dar !! appeared first on TZA_MillardAyo.
Audio: Hotuba yote ya Rais Magufuli bungeni Nov 20, mipango yake, safari za viongozi na mengine.
Millard Ayo katika TZA_MillardAyo - Saa 10 zilizopita
Ni hotuba aliyoitoa wakati akilifungua rasmi bunge la kumi na moja ambapo alieleza mipango ya serikali yake na jinsi atavyofanya kazi kwa utofauti, matumizi ya pesa kwenye safari za viongozi nje kwenye awamu iliyopita na mengine. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma […] The post Audio: Hotuba yote ya Rais Magufuli bungeni Nov 20, mipango yake, safari za viongozi na mengine. appeared first on TZA_MillardAyo.
Ratiba ya mechi za weekend hii Real Madrid Vs FC Barcelona, Uingereza Man City Vs Liverpool, hii ndio ratiba kamili …
Rama Mwelondo TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 12 zilizopita
Baada ya kusimama kwa mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania kwa siku kadhaa ili kupisha michezo ya mechi za kimataifa, November 21 Ligi hizo zinaendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Hispania na Uingereza, ila kuna mechi mbili kubwa ambazo zinavuta hisia za watu wengi mtu wangu, kwa Uingereza ni mchezo […] The post Ratiba ya mechi za weekend hii Real Madrid Vs FC Barcelona, Uingereza Man City Vs Liverpool, hii ndio ratiba kamili … appeared first on TZA_MillardAyo.
Hotuba ya Rais Magufuli ilikupita bungeni ? kuna video za moto wake katika sekunde 105
Millard Ayo katika TZA_MillardAyo - Saa 13 zilizopita
November 20 2015 Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alilifungua bunge la 11 Dodoma kwa mikikimikiki yake inayopita mulemule kwenye ‘hapa kazi tu’ kaulimbiu ambayo aliitumia sana kwenye kampeni zake za kuwania Urais, hizi hapa chini ni video fupifupi lakini zinaeleweka ukitazama kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho. #MillardAyoUPDATES #RaisMAGUFULI […] The post Hotuba ya Rais Magufuli ilikupita bungeni ? kuna video za moto wake katika sekunde 105 appeared first on TZA_MillardAyo.
Duu!! kumbe Real Madrid walitaka kumsajili Ronaldinho ila wakamtosa sababu hana muonekano mzuri ….
Rama Mwelondo TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 14 zilizopita
Klabu ya Real Madrid ya Hispania ndio klabu yenye rekodi ya kumiliki na kupenda kununua wachezaji wenye majina makubwa kwa kiasi kikubwa cha fedha, Madrid ambao hadi sasa ndio wanashikilia rekodi ya kununua wachezaji ghali zaidi duniani Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wana utamaduni wa kipekee wa kuhakikisha wanampata kila mchezaji wanaomtaka. November 20 stori […] The post Duu!! kumbe Real Madrid walitaka kumsajili Ronaldinho ila wakamtosa sababu hana muonekano mzuri …. appeared first on TZA_MillardAyo.
Nikk wa Pili katoa sababu 10 kuhusu hii list yake ya Top 10 MC’s TZ, tofauti ya Fid Q, Joh Makini, Prof Jay na wengine
Ben TZA katika TZA_MillardAyo - Saa 16 zilizopita
Leo November 20 moja ya post ambazo zilikuwa reposted mara nyingi sana kwenye Instagram ni list ya Top 10 MCs of all time ambayo imetengenezwa na rapper Nikk Wa Pili. Baada ya ku-post baadhi ya watu walikua wanabisha kwenye comments na wengine wanakubaliana naye. Hizi hapa ni sababu kwa kila mtu ambae amemtaja kwenye list […] The post Nikk wa Pili katoa sababu 10 kuhusu hii list yake ya Top 10 MC’s TZ, tofauti ya Fid Q, Joh
